Friday, 1 January 2016
CHAMA cha walimu wilayani Bahi mkoani Dodoma (CWT), kimemtaka
Rais Dk, John Magufuli, kuhakikisha anasimamia madeni ya walimu
wanayoyadai kwa kipindi kirefu ili waweze kulipwa katika awamu hii ya
tano ili waweze kusimamia kwa ufanisi dhana ya utoaji elimu bure.
Rai hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa chama hicho wilayani Bahi, Samwel Mlugu, wakati alipokuwa akizungumza na waandhishi wa habari mjini hapa mara baada ya hafla fupi ya kuwapatia msaada wa mabati walimu wastaafu.habari zaidi soma hapa
Subscribe to:
Posts (Atom)