Friday, 1 January 2016

CHAMA cha walimu wilayani Bahi mkoani Dodoma (CWT), kimemtaka Rais Dk, John Magufuli, kuhakikisha anasimamia madeni ya walimu wanayoyadai kwa kipindi kirefu ili waweze kulipwa katika awamu hii ya tano ili waweze kusimamia kwa ufanisi dhana ya utoaji elimu bure.
Rai hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa chama hicho wilayani Bahi, Samwel Mlugu, wakati alipokuwa akizungumza na waandhishi wa habari mjini hapa mara baada ya hafla fupi ya kuwapatia msaada wa mabati walimu wastaafu.habari zaidi soma hapa

No comments:

Post a Comment