Thursday, 18 February 2016
Monday, 1 February 2016
Magufuli amuongezea Muda Mwamunyange JWTZ
Rais John Magufuli amemwongeza muda wa mwaka mmoja.... soma zaidiThursday, 28 January 2016
Idadi kubwa ya majeruhi katika kikosi cha Yanga
inamnyima usingizi kocha wa klabu hiyo Hans van der Pluijm kwani hadi
mashine za mabao nazo hali ni tete
Wakati mzunguko wa pili wa Ligi ya Vodacom Tanzania unaanza Jumamosi
kocha wa Yanga Hans van der Pluijm, ameoshesha kuwa nahofu baada ya
kikosi chake kukabiliwa na wachezaji 11, majeruhi.Pluijm ameiambia Goal, hali hiyo inampa wakati mgumu kwasababu Jumamosi anamchezo mgumu wa ugenini dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa uwanja wa Mkwakwani Tanga.
“Hiki nikipindi kigumu kwetu tupo katika mbio za za ubingwa na idadi kubwa ya wachezaji wangu wa kikosi cha kwanza ni majeruhi sijui itakuwaje kwasababu ukipoteza mchezo mmoja unatoa nafasi kwa mwenzako kuongoza ligi,” amesema Pluijm.
Wachezaji waliokuwa majeruhi kwenye kikosi cha Pluijm ni Amissi Tambwe, Simon Msuva, Malimi Busungu, Vincent Bossou, Boubacar Garba, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Haji Mwinyi, Deogratius Munishi ‘Dida’, Kelvin Yondani, Mbuyu Twite na Juma Abdul.
Balaa kubwa limeikumba Yanga ambayo hivi sasa ipo katika maandalizi makali ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara unaotarajia kuanza wikendi ijayo baada ya wachezaji wake kushindwa kufanya mazoezi. Timu hiyo ambayo kwa sasa inaongoza msimamo wa ligi kuu ikiwa na pointi 39, imekumbwa na balaa la nyota wake 11 wa kutumainiwa kuwa nje ya uwanja wakisumbuliwa na maradhi mbalimbali.
Hali hiyo imeonekana kuwachanganya vilivyo viongozi wa benchi la ufundi la timu hiyo, linaloongozwa na Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Wachezaji hao ni Amissi Tambwe, Simon Msuva, Malimi Busungu, Vincent Bossou, Boubacar Garba, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Haji Mwinyi, Deogratius Munishi ‘Dida’, Kelvin Yondani, Mbuyu Twite na Juma Abdul.
Daktar wa timu hiyo Ally Nassor Matyza amesema anapambana na wasaidizi wake kuhakikisha baadhi ya wachezaji hao wanapona na kuwepo uwanjani Jumamosi kuikabili Coastal Union.
By Zuber Karim Jumaa
Ni muda mrefu umepita tangu beef ya mastaa wawili kutoka pande za Marekani Drake na Tyga ziingie kwenye headlines, Drake na Tyga beef kati yao ilijulikana mwaka 2014 baada ya Tyga kutoa kauli hii kuhusu Drake alipohojiwa na Vibe Magazine.
“I
don’t like Drake as a person. He’s just fake to me. I like his music,
you know what I’m saying? I think his music is good, but we’re all
different people. (…) We were forced together and it was kinda like we
were forcing relationships together.” >>> Tyga
Baada ya hapo Drake alijibu maneno ya Tyga kupitia hit Single yake ya 6 PM in New York
“I heard a lil lil homie talking reckless in Vibe / Quite a platform
you chose, you shoulda kept it inside / Oh you tried, it’s so childish
calling my name on the world stage / You need to act your age and not
your girl’s age” >>> Drake. kwa habari zaidi click hapa
Subscribe to:
Posts (Atom)


